House for rent at Ubungo, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA 250K
IPO UBUNGO MAKOKA KUTOKEA UBUNGO RIVA SIDE 
KODI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI 4, 5, 6
SIFA ZAKE 
########
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SANA SEBULE KUBWA SANA UNAWEZATENGA NA DAINING NA PUBLIC TOILET NZURI  YA NJE
INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI LUKU YAKE NA MAJI YAPO DAWASA MASAA 24 YANAFLOW NDAN 
IPO NDAN YA FENS PARKING IPO KUBWA MAZINGIRA MAZURI MNOO 
UMBALI KM 2 KUTOKA MENROAD UBUNGO RIVA SIDE USAFIRI UPO WA UAKIKA BAJAJI 700 KUPITIA UBUNGO KIBANGU UKISHUKA KWENYE BAJAJI DK 3 UPO NYUMBAN 
SERVICHAJ ELFU 15 NA ITADUM MPKA UPATE NYUMBA BILA KUCHAJIWA TENA 
  0655256419
CONTACT




















