House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







(300,000X6) UBUNGO MAKOKA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 300,000X6
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 KUTOKA UBUNGO EXTRENAL AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI
SIFA ZAKE
___________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA LINAWEKWA SINK
#PABLICK TOILET
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
CONTACT US:-
0716223412
0683597453