House for sale at Gongo La Mboto, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa Gongo la mboto (majohe kwa ngozoma) wilaya ya ilala Dar
📌BEI MILION 70📌
Vyumba v4 kimoja masta
Dining siting jiko
Tailz jipsam umeme maji
FREM 4 ZA BIASHARA
Ina Full a.c (kiyoyozi)
Eneo ni sqm 460 (makadilio)
Nyaraka ya serikali ya mtaa
Whatsap au piga CALL 📞 #0683491594#0716974073