House for sale at Kitunda, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa ipo kitunda kivule
Bei milion 78 inapungua pia
Vyumba jumla ni 10 na masta zake
jiko, jipsam, tailz, maji umeme
unatembea tu had stend
gari moja tu had mjini
whatsap au piga
0788156493
0614130017