House for sale at Madale, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUMALIZIA INAUZWA MADALE
MITA 300 KUTOKA LAMI MPYA,
Nyumba nzuri sana inauzwa bei ya kutupa:
Inaroom 3 moja self
Sebule jiko stoo na public toilet
Eneo-sqm 350
Umiliki-mauziano serikali za mtaa
Bei-ml 35 maongezi
Location- madale mivumoni centre
Umbali-km 1.5 kutoka main road madale midizini
Na mita 300 kutoka barabara kubwa ya mivumoni inayowekwa lami Kwa sasa
0745559598