House for sale at Mbagala, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI SANA INA UZWA BEI NZURI SANA TSH MIL 160
IPO MBAGALA MAJI MATITU JILANI NA STEND KUU YA MWENDO KASII YA MBAGALA RANGI JIJI LA DAR ES SALAM WILAYA YA TEMEKE
ENEO SQUARE MITER β¬οΈ 550
INA DOCUMENTS ZOTE ALALI ZA OFFICE YA SILIKALI YA MTAA
VYUMBA VIPO VNNE VYA KULALA VYUMBA VYOTE NI MASTERS BDROOM INA SITTING ROOM INA DAINING ROOM NA JIKO PAMOJA NA PUBLIC TOILET π»
KWA MAELEKEZO ZAIDI NIPIGIE CM AU NICHEKI WHATSAPP 0759 203175 0652 618 143 π


















