House for sale at Moshono, Arusha


Ni dabo self chumba seble jiko na choo ina pangishwa jijin arusha moshono bm ni gorofa ya juu wapangaji wa tano getini bei 250000 kwa mwezi kutoka barabara ya lami mita 400 kwa mwiitaji piga number 0753503791/0784457400