House for sale at Salama, Mara


๐ก ENEO KUBWA LENYE NYUMBA ZA KISASA LINAPATIKANA KIMARA KOROGWE โ LINAUZWA SASA!
Ukubwa wa Kiwanja: PLOT SIZE SQMT 12,140.57 (Hekari 3)
Fursa ya kipekee ya kumiliki eneo kubwa lenye nyumba na apartments za kisasa katika Kimara Korogwe โ Kilungule, eneo linalotajwa kwa utulivu, usalama, na ukuaji wa kasi.
๐ MAELEZO YA ENEO
โ Lipo Kimara Korogwe โ Kilungule
โ Umbali: Takribani 1.5 km kutokea Morogoro road Kituo cha Mwendo Kasi (BRT Stand)
โ Barabara inafikika kirahisi muda wote
โ Miundombinu ipo โ maji, umeme, mtandao
โ Mazingira salama, tulivu na yanayofaa makazi au uwekezaji
๐๏ธ NYUMBA NA APARTMENTS ZILIZOPO
โ Nyumba kadhaa zimekamilika na tayari zina wapangaji
โ Apartments zingine zimebakisha finishing ndogo ndogo (rangi, fittings n.k.)
โ Ujenzi wa msingi, paa, kuta, umeme & maji umekamilika
โ Sebule kubwa, vyumba vya kisasa, tiles, vyoo vya kiwango cha juu
๐ผ FAIDA KWA MNUNUZI
โ Uwekezaji tayari unatoa kipato (wapangaji wapo)
โ Fursa ya kukamilisha finishing kwa ladha yako
โ Eneo kubwa linaloruhusu upanuzi au miradi mikubwa
โ Thamani ya ardhi na majengo inaongezeka kila mwaka
๐ENEO LINAUZWA: Tsh 600,000,000 (maongezi kidogo yapo)
Gharama ya kwenda kuona (Service Charge): Tsh 30,000 tu โ kuangalia eneo, nyumba na apartments zilizopo.
๐ Wasiliana / Piga: 0672 673363 / 0763 219307
โก Chukua hatua sasa โ fursa kama hii ya Kimara Korogwe haiji mara mbili!


















