House for sale in Sinza, Dar Es Salaam


Type
House
Description
HOUSE FOR SALE – SINZA VATIKANI
Nyumba nzuri inauzwa katika eneo la Sinza Vatikani, sehemu tulivu na yenye miundombinu bora, karibu na huduma zote muhimu.
📍 Location: Sinza Vatikani
📐 Ukubwa wa kiwanja: Square meters 288
💰 Bei: TZS 230,000,000 (Negotiable)
✔️ Eneo zuri la makazi au uwekezaji
✔️ Karibu na barabara kuu na usafiri rahisi
✔️ Hati safi ipo tayari kwa uhamisho
📞 Kwa mawasiliano zaidi:
0746178918



















