1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam






KINAPANGISHWA: CHUMBA KIMOJA KIKUBWA – KIMARA SUKA
Unatafuta nyumba iliyo salama, tulivu na ya kujitegemea? Hii nafasi ni yako!
📍 Eneo: Kimara Suka (Umbali wa 1.5km kutoka barabara kuu)
💰 Kodi: TSH 70,000 kwa mwezi
✅ Choo chako njee
✅ Ndani ya uzio
✅ Umeme wa 3
✅ Maji yanaflow
✅ Mlango binafsi, fensi ipo
👁 Viewing: 15000
📞 Wasiliana: 0659244543(Saa 2 asubuhi – Saa 5 usiku)
📌 Fursa nzuri kwa anayehitaji utulivu na uhuru wa makazi