1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA
KODI 150,000/= X6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI DAKIKA 10-12 KUTEMBEA
Sifa zake :-
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME SABMITA YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.



















