1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 250,000X5,6 YOTE INAPOKELEWA
LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA TU UNAPIGA TEKE MLANGO
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#SEBULE NA JIKO
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#PAKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK 🚫
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347