1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam






Chumba kimoja single Kinapangishwa Kodi tsh 60,000x6
Mahali kimara mwisho umbali dk 15 kwa mguu au boda boda tsh 1000
Umeme shea wapangaji 4
Maji pia mnashea bill
Kina tairz singbord safi chumba kizuri
Kuonyeshwa nyumba 15k
Ulipiapo chumba dalali mwezi 1