1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA ZIPO 3 NDANI FENCE MOJA NDIO  IPO WAZI KODI 200,000X3
LOCTION KIMARA MWISHO DAKIKA 6-7 KUTEMBEA 
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
SIFA ZAKE 
_____________
#CHUMBA KIMOJA KIKUBWA 
#SEBULE KUBWA SANAAA 
#JIKO KUBWA LA MAKABATI 
#PABLICK TOILET NDANI 
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 
#UMEME LUKU YAKO 
#NDANI YA FENSI ISIYOLAZA GARI 
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347




















