1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







MASTER NZURI NA JIKO LAKE NDUGU MTEJA
MASTER BEDROOM NA JIKO NZURI FOR RENT MBEZI KIBANDA CHA MKAA
KM 1 TOKA MOROGORO ROAD USAFIRI WA BAJAJ UPO 24HRS DKK
13-15
BEI NI 150,000/=×4
📍Mlinzi, taka na usafi 40,000*3 -120,000
SIFA ZAKE
NI CHUMBA KIMOJA MASTER
NA JIKO NZURI MPYA MPYA
UMEME LUKU YAKO
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
FENSI NA PARKING NI KUBWA
NOTE: SERVICE CHARGE NI 20,000/=
Contact
###0655256419



















