1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(250,000X6)MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK5- 7 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
#APARTMENT_FOR_RENT_AT_MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAAA
#CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO NZURI LENYE MAKABATI
#CHOO CHA NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI YAKO PIA
#AIR CONDITION SEBULENI
#KODI NI TZS 250,000/=×6
NYUMBA IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAAA UMBALI WA DAKIKA 7 TU KWA MGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
NYUMBA INA FENSI YA WAYA ILA USALAMA WA KUTOSHA KABISA NA PIA KUNA MLINZI AMBAYE ANALIPWA NA MWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE NI TZS 15,000/=
NB: ITAKUWA WAZI TAR 01/08/2025 KULIPA RUKSA
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
##0655256419