1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(270,000X6)MBEZI KIBANDA CHA MKAA DK 5-7 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
——
#APARTMENT_FOR_RENT_AT_MBEZI_KIBANDA_CHA_MKAAA
#CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
#SEBULE KUBWA
#JIKO NZURI LENYE MAKABATI
#CHOO CHA NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#MAJI YAKO PIA
#AIR CONDITION SEBULENI
#KODI NI TZS 270,000/=×6 (Plus na Deposit ya 150,000/= inaambatana na kodi)
NYUMBA IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAAA UMBALI WA DAKIKA 7 TU KWA MGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
NYUMBA INA FENSI YA WAYA ILA USALAMA WA KUTOSHA KABISA NA PIA KUNA MLINZI AMBAYE ANALIPWA NA MWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE NI TZS 20,000/=
#ANGALIZO ITAKUWA WAZI TAREHE 11/9/2025 ILA KUONA NA KULIPIA RUKSA KABISA
SIMU
0716223412
0618976024