1 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







APARTMENT 3 TU KALI SANA ZINA PANGISHWA MBEZI KWA MSUGURI DK8 KWA MIGUU KUTOKA LAMI NA UKANYAGI TOPE LAMI MBAKA GETINI.
------
Vyimba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=×6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
---------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big_kimara
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏