1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA MPYA KABISA ZINAPANGISWA KODI 250,000/=X3
LOCATION UBUNGO MAKOKA KM2 USAFIRI BAJAJI 700 KUTOKA UBUNGO RIVER SAID AU KIMARA KOROGWE MWENDO KASI
SIFA ZAKE
___________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWAA
#SEBULE KUBWA
#JIKO NZR LA KISASA
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.