1 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 350,000X6
LOCATION UBUNGO RIVERSIDE KIBANGU DAKIKA 10-12 KUTEMBEA USAFIRI BAJAJI 500 BARABARA NI LAMI MPAKA MLANGONI
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#CHUMBA KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA MAKABATI
#MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ๐ซ
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347