4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







STAND ALONE KUBWA SANA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
VYUMBA VINNE VYA KULALA VIKUBWA SANA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA NA DINNING
CHOO CHA FAMILIA NA BAFU LAKE
JIKO KUBWA NA STORE
MAJI YANA FLOW NDANI
KODI 350,000X6
NDANI YA FENS PARKING SPACE KUBWA SANA
MAZINGILA MAZURI
UMBALI KM 1.5
BODA 1000
MPKA GETINI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
##0655256419