4 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI KUBWA INAPANGISHWA BEI NI MILIONI MOJA KWA MWEZI (1,000,0000/= X 6 )
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 20/12/2024 
๐ NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA 
#SEBULE KUBWA SANA 
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA LA NDANI NA NJE
#PUBLIC TOILET 
#AIR-CONDITION
#GARDEN NZURI 
#PAVING
#ULINZI WA FENSI KUBWA YA UMEME
KUNA SERVANT COTER YA CHUMBA MASTER NA JIKO LAKE NZURI 
BEI NI 1,000,000/= X 6
________________________________________________________ 
๐ซ๐ซ NYUMBA HII IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI 500 AU BODABODA 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20
________________________________________________________
 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
========================
*WSP:0620_436331
*CALL:0758_602157
========================




















