4 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inapangishwa Kinyerezi Mwisho. (IPO PEKEE YAKE NDANI YA FENCE).
- Vyumba vinne (vyote master)
- Master ina sebule pia
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Public toilet
- Study room
- CCTV cameras
- Garden anaweka
- Electric fence
- Water heater
- Full A/C
- Mtaa mzuri
Kodi 2,000,000/=.
Muhitaji piga 0688 412 890.