4 Bedrooms House for sale at Bunju, Dar Es Salaam


π NYUMBA YA KISASA INAUZWA β BUNJU π
π Mahali: Karibu kabisa na Main Road
π Kiwanja: Sqm 600 (Kimepimwa, Kina Hati ya Wizara)
π‘ Ndani ya Nyumba Kuu:
β’ Vyumba 4 (kimoja ni Master)
β’ Sebule kubwa
β’ Dining
β’ Jiko
β’ Public Toilet
π Nyumba za Nje:
β’ Nyumba mbili (kila moja na Master Room + Sebule)
π° Bei: TZS 250 Milioni (Maongezi yapo)
β‘ Service Charge: TZS 20,000/=
π Mawasiliano:
π± 0687 800 788
π± 0713 958 395