4 Bedrooms House for sale at Goba, Dar Es Salaam


Nyumba mpya inauzwa Kali mno
Ina Vyumba Vinne , viwili ni masterbedrooms, sebule kubwa, dinning na JIKO
Ina servant quarter, reserve tenks na water pump
Bei million 230
Location GOBA Njia nne
Umbali kutoka lami mita 400 tu
Documents đź“„ HATI MILIKI ndo ipo kwenye mchakato wakukamilika
#0786801000whatsapp