4 Bedrooms House for sale at Kibaha, Pwani







NYUMBA KUBWA MPYA YA FAMILIA INAUZWA BEI NI MILIONI 75  MAONGEZI YAPO 
🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#VYUMBA 4 VIKUBWA VYA KULALA KATI YA HIVYO VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM KUBWA 
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA 
#PUBLIC TOILET 
UKUBWA WA KIWANJA NI 25 / 20 METERS 
DOCUMENT:- HATI SAFI YA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI YA MTAA 
BEI NI MILIONI 75 MAONGEZI YAPO 
💫💫 NYUMBA HII IPO KIBAHA PICHA YA NDEGE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU NJIA YA GARI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA 
0713 636000 
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30 NDUGU MTEJA



















