4 Bedrooms House for sale at Kinyerezi, Dar Es Salaam







Nyumba inauzwa Kinyerezi Saloon.
Sqm 700
INA HATI
- Vyumba vinne (vyote master)
- Sebule
- Dinning
- Jiko lenye makabati
- Store
- Public toilet
- Mafeni
- A/C
- Electric fence
- Mamtaa mzuri
Bei mil 300.