5 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







NYUMBA KUBWA YA KIFAMILIYA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE MBEZI KWA MSUGURI KM1 KUTOKA LAMI BODA BUKU.
VYUMBA 5 VYA KULALA 2 MASTER BEDROOM 
SEBLE KUBWA SANA 
DINNING ROOM 
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI/STOO
PUBLIC TOILET  ZIPO MBILI
MAJI YANA FLOW 
CUMBANI KUNA AC
KAMA MCUGAJI KUNA SEHEMU YA KUFUGA AU KULIMA MBOGA MBOGA
PAVING BLOCK 
PARKING SPACE KUBWA SANA 
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 700,000/=×6
#0625606710🏠wahiii



















