5 Bedrooms House for sale at Chanika, Dar Es Salaam


NYUMBA VYUMBA 5, KIWANJA SQM,3,500 SQM, TSHS.89 MILIONI,CHANIKA-NGUVUMALI/YONGWE.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 3,500.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Vyumba 5 ( 4 Vyoo ndani)
Sebule, Jiko, Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Umaliziaji mdogo tu umebaki.
Umeme upo jirani.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
______________mskv