5 Bedrooms House for sale at Kivule, Dar Es Salaam


NYUMBA NZURI, VYUMBA 5, TSHS.45 MILIONI, KIVULE MAKONDE.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM.350
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Hapa unapanda Gari moja tu kufika Posta au Kariakoo.
Vyumba 5 (Masta1) Pia ina Sebule, Jiko,Dining-room na Choo cha Familia ndani.
Maji Safi yapo na Umeme upo.
UKICHELEWA USINILAUMU BAADAE.
______________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuon ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255714591548
______________mskv
Ukihitaji kukagua taarifa mapema Tafadhali.