3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


Nyumba inapangishwa inajitegemea sifa zake
Vyumba 3 vya kulala chumba kimoja ni master bedroom Sebule jiko Full AC
Kodi 600k Kwa mwezi
Ipo kigamboni geza ulole tuwasiliane mapema wateja Wangu
📞☎ 0718630932