3 Bedrooms House for Rent at Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI
<> location ungindoni
<> nyumba ina vyumba vitatu vyote Master sebule mbili dining na jiko & servant quarter ( Stand alone)
✅nyumba iko fenced
✅nyumba ina parking
✅nyumba ina electric
✅nyumba iko barabarani
✅nyumba mpya na ya kisasa
<> asking price tsh,, 2ml per month
mwezi moja wa dalali kisiwani
<> services charge 20k zingatia utalatibu
◾️mawasiliano
✅0628505896
✅0763954837