3 Bedrooms House for Rent at Kiluvya, Pwani







NYUMBA INAPANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA
DAKIKA CHACHE AU MITER 500 TUU
SIFA ZAKE NI KAMAA HIZI HAPA.
-SEBULE KUBWA
-VYUMBA VITATU VYA KULALA KIMOJA MASTER
-JIKO
-PUBLIC TOILET
-UMEME WAKE
-MAJI YAKE
KODI NI 300,000 ILIPWE MIEZI 4 KUENDELEA.
PICHA TUMIA HIZI KUMPA MTEJA WAKO NZURI ZITAKUJA BADAYE ILA USISUBIRI.
#0785889413
#0754589413