3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT 2 NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2.5 KUTOKA LAMI INA PIGWA RANGI KUFANYIWA MAREKEBISHO MENGI
------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Full ac
Ndani ya fence
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
----------
Contact
📞#0676_218580(WhatsApp)
📞#0693_673010
dalali_big_kimara 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏