3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 500,000

NYUMBA HII NZURI IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA NA ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI BEI NI 500,000/= X 6

ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 01/11/2024 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO

🌟 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO

#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#DINNING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#GARDEN

#ZIPO NYUMBA MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA ZIPO MBALI MBALI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA

BEI NI 500,000/= X 6

💫💫 NYUMBA HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU USAFIRI NI BAJAJI NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA

#0625606710

Dalali_wa_Nyumba_Captain*** Rich
dalali_mwarabu_kimara.dsm
Dalali_wa_Nyumba_Captain*** Rich

Similar items by location

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

APARTMENTS MPYAAAAA YA KISASA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DAKIKA.4 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO R...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 160,000

*APARTMENT NZURI SANA NDANI YA FENCE**INAPANGISHWA* *KIMARA TEMBONI* 💥 *KODI YAKE 160K X4 //*🏘️ *I...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO =======================*CHUMBA, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, M...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

300,000 x6. 0679 956 863 APARTMENT KALI SANA KUBWA HII INA PANGISHWA UNAWEZA PITIA KIMARA KOROGWE AU...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

200,000 x6NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO =======================*CHUMBA, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILE...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

(200,000X3)KIMARA MWISHO 1KM KUTOKA MOROGORO ROAD BAJAJI 700, BODA ELF MOJA➖➖➖➖➖➖➖➖➖NYUMBA YA KUPANG...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

IYO YA CHIN KABISA NDO INAKUWA WAZI TAR 20/05/2025 KUJA KUIONA NA KULIPIA AU KUZUIA NI RUKSA KABISA ...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI #SEBULE KUBWA#MASTER KUBWA#JIKO KUBWA LENYE K...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 130,000

MASTER BEDROOM KUBWA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM 1.5KUTOKA LAMI. CHUMBA KIKUBWA CHOO NDANI.JIKO...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NEW APARTMENT FOR RENT LOCATION KIMARA BARUTI DK 13 TOKA MOROGORO ROAD USAFIRI WA BODA BODA BUKUBEI ...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO =======================*CHUMBA, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, M...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NEW Apartment Classic For Rent ✨️ Location: KIMARA BARUTI Distance: Dakika 13 Kutoka Morogoro Road U...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

IYO YA CHIN KABISA NDO INAKUWA WAZI TAR 20/05/2025 KUJA KUIONA NA KULIPIA AU KUZUIA NI RUKSA KABISA ...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI #SEBULE KUBWA#MASTER KUBWA#JIKO KUBWA LENYE K...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 130,000

MASTER BEDROOM KUBWA ZINA PANGISHWA KIMARA MWISHO KM 1.5KUTOKA LAMI. CHUMBA KIKUBWA CHOO NDANI.JIKO...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENTS MPYAAAAA YA KISASA ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DAKIKA.4 KUTOKA BARABARA YA MOROGORO R...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT KALI SANA KUBWA YA KISASA INA PANGISHWA LOCATION: KIMARA SUKA KODI 200,000X3UMBALI KM 2BAJ...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 160,000

(160,000X4)KIMARA TEMBONI➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖*APARTMENT NZURI SANA NDANI YA FENCE**INAPANGISHWA* *KIMARA TEMBO...

3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

(600,000X6)KIMARA TEMBONI ➖➖➖➖➖➖➖➖➖, NYUMBA MZURI SANA INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGIS...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 320,000

Apartment Kali Sana InapangishwaMahali: Kimara Korogwe Bei: 320,000 Kwa MweziMalipo: Miezi 6☑️Lami N...