3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


#0625606710
NIMEISHUSHA BEI...NYUMBA KUBWA YA KISASA YA FAMILIA INAPANGISHWA NA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#DINING
#JIKO KUBWA LA KISASA
#STORE
#PUBLIC TOILET
💰BEI NI 350k X 5
🇹🇿 NYUMBA HII KUBWA YA FAMILIA INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 15 TUU KWA MIGUU AU BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 1 UPO KWENYE NYUMBA
🎤NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA