3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(450,000X6)KIMARA TEMBONI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT KARI NZURI YA FAMILY KUBWA NA NZURI
IPO #KIMARA_TEMBONI UMBARI WA DK 6 SITA TU ZA MIGUU
SIFA YA NYUMBA
✔️VYUMBA VITATU
✔️KIMOJA MASTER
✔️SEBULE
✔️JIKO
✔️CHOO CHA PUBLIC NDANI
✔️NDANI YA FENCE
INA TILE'S JIPSAM DILISHA LA KIOO
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI DAWASCO YAPO
MDA WOTE IPO NDANI YA FENS USALAMA WA KUTOSHA PAKING KUBWA BARABARA RAFIKI GARI LOLOTEE LINAFIKA
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI
BEI LAKI NNE. NA NUSU MIEZI6
450,000X6
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453