3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO 3 TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA YA JUU INAKUWA WAZI TAREHE 17/09/2025
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER 
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET 
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA 
#LUKU INAJITEGEMEA 
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 7 -8 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI 
#BEI NI 450,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA AU 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 10
SERVICE CHARGE TSH 20,000
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1 
What saapp number 0689-547258



















