3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA BARUTI DK6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 500,000/=ร6
-----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 5
-----------
Contact
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐
0713661530_0783661530