3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE KIMARA MWISHO KM2.5 KUTOKA LAMI
------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko
Public toilet
Slide window
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence lakini ailazi gari ndani
------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000X6
-------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
--------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#dalali_big__kimara🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏



















