3 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INAYOJITEGEMEA KWENYE  FENSI INAPANGISHWA IPO KATI YA KIMARA KOROGWE NA KIMARA MWISHO. 
IPO KWENYE ENEO LENYE UKUBWA WA NUSU HEKA KWA WALE WANAPENDA KUFUGA NA KULIMA BUSTANI RUKSA. 
INA -
Vyumba  3 vya kulala kimoja master bedroom 
Sebule kubwa 
Dining room
Jiko 
Stoo
Public toilet 
Rezev Simtank 
Floor ya kawaida 
Tails  ##gypsum 
Car Garage 
Madirisha Shata Mazuri 
Umeme Luku inajitegemea 
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni 
Ndani ya fensi yenye Eneo  kubwa .
-----
Kodi ni laki 500,000 /=
Kwa mwezi. 
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba. 
Kuona nyumba elfu 15,000 .
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363




















