3 Bedrooms House for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Nyumba ya vyumba vitatu (kimoja master), sebule, jiko, public toilet n.k. Kinyerezi Kibaga.
Wapangaji wawili tu.
Kila kitu unajitegemea.
Kodi 350,000/= miezi kwanzia 4.
Muhitaji piga 0688 412 890.