3 Bedrooms House for Rent at Madale, Dar Es Salaam


STAND ALONE
INAPANGISHWA โ MADALE (Karibu na Lami)
Nyumba nzuri ya kupanga yenye vyumba 3:
๐๏ธ Chumba 1 ni Master
๐๏ธ Sebule ya kisasa
๐ฝ๏ธ Dining
๐ณ Jiko
๐ฝ Choo cha umma (public toilet)
๐ Ipo Madale, karibu kabisa na barabara ya lami โ mahali salama na panapopitika kwa urahisi.
๐ฐ Kodi: 850,000 TSh kwa mwezi
๐ Wasiliana:
#0689138795whatsapp
#0758998074๐