3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







(500,000X6) MBEZI KIBANDA CHA MKAA
➖➖➖➖➖➖➖
NYUMBA YA KI FAMILIA INAPANGISWA KIBANDA CHA MKAA UMBALI KM 2
STAND ALONE KALI SANA INAPANGISWA KALI SANA
VYUMBA 3VITATU
VIWILI MASTER
SEBULE KUBWA MNO
JIKO LA MAKABATI
NDAN YA FANCE
UMEME WAKO
MAJI YAKO
BEI 500K X6
ILIPIWE LAKITANO KWA MWEZ MIEZ SITA
BAJAJI700
BODA 1000
UKISHUKA BAJAJI UNAPIGA GETI TEKE
➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMLIPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0618976024