3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


π‘ Nyumba Inajitegemea (Stand Alone) Inapangishwa
π Mahali : Mbezi Beach(Karibu na Bot Flats) , Dar-Es-Salaam, Tanzania πΉπΏ
Ina:
πΈ Vyumba Vitatu Vya Kulala (Kimoja Masta)
πΈ Sebule
πΈ Jiko lenye #makabati
πΈ Choo Cha Public
πΈ Parking Space π
ΏοΈ
πΈ Inajitegemea Kwenye Umeme
π° Bei : 1,200,000 Tsh Kwa Mwezi
Tafadhali Tupigie : 0715384892