3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI INAPANGISHWA,
NYUMBA HII KALI SANAAAA IPO #KIMARA_TEMBONI KULIA KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI KM/ 1,5 KUFIKA
MUUNDO WAKE
VYUMBA VITATU VYAKULALA KIMOJA MASTAR, SEBULE KUBWA SANA, DINING KUBWA SANA, JIKO KUBWA SANA,
INATAILIZY GYUPUSAM ALUMINIUM
NDANI YA FENSI PEVING BLOCK
FUL A/C
MAZINGIRA MAZURI MNOOOO BONGE LA ENEO ATA UKIWA NA SHEREHE UNAFANYA
KODI 600,000/ X 6
KUONA NYUMBA HII ELFU 15000
UTAMLIPA DALALI KODI YAMWEZI MMOJA UKILIPIA NYUMBA
PIGA SIMU
0677445508