3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


#STAND_ALONE (300,000) #MBEZI_MSUMI_CENTER
NYUMBA KALI YA KUJITEGEMEA INAPANGISHWA MBEZI MSUMI CENTER
➡️INA VYUMBA VITATU VYA KULALA IKIWA CHUMBA KIMOJA NI MASTER, SEBLE, DINNING ROOM, JIKO LA MAKABATI, STOO NA PUBLIC TOILET
KODI: TSH. 300,000/= x 4
➡️A/C CHUMBANI KWA MLIPA KODI
➡️FENI ZIPO VYUMBA VYOTE
➡️MAJI 24 Hours
➡️ USAFIRI UPO
➡️ DAKIKA 2 TU UPO KITUO CHA DALADALA
Service charge ni shilingi 20,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300
.
.
.
.
.
#instadaily #instafashion #insttrend #instagram