3 Bedrooms House for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


NYUMBA HII INAYOJITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENSI IPO MBEZI MWISHO NJIA ILIYOWEKWA LAMI MPYA YA KUELEKEA MAKABE KUPITIA SANT ANSI PRIMARY SCHOOL AU MADUKANI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI AU DALADALA
-------
Vyumba 3 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa
Jiko kubwa la kisasa
Public toilet
Slide window
Luku yako
Majo yana flow
Kuna servant corter ya chumba na seble na choo
Ndani ya fence
Parking space kubwa
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 450,000/=×6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4.5
---------
Contact
📞#0676_218580(WhatsApp)
📞#0693_673010
#Dalali_big_kimara 🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏