3 Bedrooms House for Rent at Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA NA MADUKA, TSHS.250 MILIONI,TABATA SEGEREA.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Ipo jirani na Barabara ya Lami.
HAPA UTAISHI NA KUINGIZA PESA WAKATI HUOHUO.
Ni kubwa na ya Kusasa.
Vyumba 3 ( Masta 1) na ina Sebule,
Jiko,Dining-room na Choo cha Familia ndani.
Maduka ya 8 jumla.
MAKUSANYO:
Ikipangishwa nyumba Kodi ni Tshs.700,000/Mwezi.
Maduka kila moja ni Tshs.150,000/Mwezi.
Jumla inaingiza Tshs.14,400/Kila Mwezi.
Kwa MWAKA ni Tshs.28,800,000.
Ukihitaji kuishi hapahapo na Kuchuma Kodi (MADUKA)
pekeeyake utakusanyaTshs.1,200,00].
MUNGU AKUPE NINI?
WEKEZA HAPA HUTAJUTIA.
_____________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000
(Unalipa wewe Mnunuzi)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
+255714592548
____________tP
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.