3 Bedrooms House for Rent at Ubungo, Dar Es Salaam







NI STEND ALONE BEI 350K MIEZI 6
LOCATION UBUNGO MAKOKA DK 3 UNAPIGA MRANGO TEKE
SIFA ZA NYUMBA
###########
#NI VYUMBA 3 VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER
#SEBRE
#JIKO
#PABLICK TOILET NDANI
#UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA
# MADILISHA KASHATA YA NYAVU MAZURI YENYE HEWA SAFI
#CHINI FROO YA KAWAIDA NZURI KAMA UNAVYO JIONEA HAPO KWENYE PICHA
NYUMBA IMEKAA SEHEM NZURI NA SALAMA UPANDE MMOJA NDIO UMEZUNGUSHIWA FENSI USALAMA WA WAKUTOSHA KABISA
NYUMBA YA KUINGIA KABISA UKILIPIA UNAINGIA NYUMBA NZURI SANA
SINA CHENI NAMALIZA BIASHARA
NDUGU MTEJA BILA KUSAHAU NAKUKUMBUSHA BEI 350 KAMA UNAJUA KUONGEA KARIBU UTAWEZA KUPUNGUZIWA KIDGO KARIBU SANA UKIONGEA VIZURI UTACHUKUA ATA KWA 300K MBAKA 320K
CONTACT
0742260844
0657384670



















